Chidi Benz: mpangaji Mungu

Chidi Benz: Mpangaji Mungu

Yees!! Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa official chidibeenz  ameamua kutoka na ujumbe hii ikiwa leo ni ijumaa tunaweza kusema ujumbe wa kuianza wikiendi.

Ameandika hivi ........." Mungu kila wakati, kwa kila unalokutana nalo Dunia kapanga yeye wewe unapita tuu, ukiamini vizuri ni yeye Ukiamini tofauti manake ni tofauti sio yeye. Amini, Hakikisha. Omba kila wakati. Shukuru."

Aiseee chidi beenz ndivyo alivyoamua kutuachia jumbe ya kuanzia wikiendi bhana tuambie umeulewa nini kwenye ujumbe huo?
Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Janeth Jovin

A writer, reporter, presenter and news anchor for Mwananchi Scoop. Her writings are based on business, money management on Tuesday and health on Thursday on Mwananchi Scoop. Her famous segments on Mwananchi Scoop include KARIA and FASHION.

Latest Post