Chelsea, Liverpool kuwania milion I 322

Chelsea, Liverpool kuwania milion I 322

'Timu' ya #Chelsea na #Liverpool zitakutana leo kwenye fainali ya kombe la Carabao ambapo bingwa wa mchezo huo ataondoka na pauni 100’000 sawa na tsh 322 milioni kama zawadi katika mashindano hayo

Mbali na zawadi hiyo pia kwa upande wa mshindi wa pili atapewa Pauni 50,000 sawa na tsh 161 milioni katia mchezo huo utakao chezwa leo nchini Ungereza saa 12:00 jioni.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags