Chanzo MejaKunta kukamatwa

Chanzo MejaKunta kukamatwa

Moja kati ya taarifa ambayo imezagaa kwenye mitandao ya kijamii ni kusambaa kwa video inayomuonyesha msanii wa singeli MejaKunta akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi la polisi.

Nikwambie tu hadi sasa chanzo cha msanii huyo pamoja na mrembo aliyekua naye kukamatwa bado hakijawekwa wazi.

Mwananchi Scoop tunaendelea kufuatilia tukio hilo kwa undani zaidi ili kubaini chanzo usiache kufuatilia page zetu ikiwemo instagrampamoja na website yetu www.mwananchiscoop.co.tz.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags