Chama na Jesus hawataiona ngao ya jamii

Chama na Jesus hawataiona ngao ya jamii

Winga wa ‘klabu’ ya #Yanga, #JesusMoloko atakosekana katika mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Azam FC kutokana na kutumikia ‘kadi’ nyekundu aliyoipata katika mchezo dhidi ya Mbeya City msimu uliopita.

Pigo hilo halitaishia kwa winga huyo tu bali hadi kwa Clatous Chama mchezaji wa Simba SC ambaye naye anatumikia kifungo cha ‘mechi’ 3, alichopewa na ‘Bodi’ ya ‘Ligi’ kutokana na makosa ya kinidhamu aliyofanya msimu uliopita, kwa hiyo hatokuwepo kwenye mchezo huo dhidi ya Singida Fountain Gate.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags