Cardi B: Umaarufu Unachosha

Cardi B: Umaarufu Unachosha

Kwa kauli hii huwenda kuna yaliyomkuta Rapa huyu kutokea nchini Marekani anayejulikana kwa jina la Cardi B.

Hivi karibuni Cardi B ametweet kwamba”Famous is boring’ akimaanisha kuwa Umaarufu Unachosha, kwa kauli hii tunaweza kusema kuwa kuna kitu kitakuwa kimempata.

Kauli hiyo imesabababisha mashabiki wengi kutafsiri kwa kina na kusema kwamba Cardi B tayari amechoshwa na umaarufu aliokuwa nao sasa licha ya kuingiza mabilioni ya fedha kupitia umaarufu huo.

Je ungekuwa star na wewe kama Cardi B ungesubutu kutoa kauli hiyo au ungefanyaje ili umaarufu usikuchoshe. Dondosha comment yako katika ukurasa wetu wa Istagram ambao ni @mwananchiscoop






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags