Cardi b ashinda bilioni 2.8 kesi dhidi ya Tasha k

Cardi b ashinda bilioni 2.8 kesi dhidi ya Tasha k

Unaambiwa kuwa msanii Cardi B ameshinda kiasi cha Sh. Bilioni 2.8 kwenye kesi yake dhidi ya Tasha K ambaye ni blogger yaani mtoa habari mtandaoni.

Cardi B alikuwa akidai kwamba Tasha K alimchafua kwa ku-Publish habari aliyodai kuwa ni ya uongo dhidi yake hivyo kumchafua katika jamii.

Mfano wa habari hizo ambazo Tasha K aliwahi kuzitoa ni kumuita kahaba Cardi B, mtumiaji wa dawa za kulevya pia msambazaji wa magonjwa ya ngono kwa watu wengine.

Taarida hizo Cardi B alidai kuwa zimesababisha amechukua maamuzi ya kujiua.

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags