Cardi b amtunza Offset bilioni 4

Cardi b amtunza Offset bilioni 4

Unaambiwa bwana moja kati ya stori ambayo imesumbua mitandaoni ni hii hapa ambapo Cardi B hataki masihara kabisa kwa Offset, kwenye kumbukumbu ya kuzaliwa kwa 'Baby daddy' wake huyo anayetimiza miaka 30 amempa hundi yenye thamani ya Dola Milioni 2 sawa na Tsh Bilioni 4.

Cardi B amempa hundi hiyo kwenye stage ya ukumbi mmoja wa starehe nchini Marekani, na huu ndio umekuwa utaratibu wa wawili hao kupeana zawadi na kufanyiana 'surprise' kwenye siku za kuzaliwa kwao.

Ohooo!! Niambi mdau mwananchiscoop wewe hili kuweza kwa ukubwa upi? Au ndo kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake tupia comment yako hapo kupitia www.mwananchi scoop.co.tz.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags