Cardi B akanusha kurudiana na Offset

Cardi B akanusha kurudiana na Offset

Baada ya kuzuka tetesi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na ‘Rapa’ #CardiB kurudiana na aliyekuwa mumewe #Offset, hatimaye Cardi amekanusha uvumi huo.

#Cardi ameyasema hayo kupitia kurasa wake wa X (twitter) akieleza kuwa hawezi kurudiana tena na #Offset licha ya wawili hao kusheherekea pamoja katika sikukuu ya Krismasi.

Cardi B na Offset walionekana tena pamoja katika sikukuu ya Krismasi wakiwa na watoto wao, hii ni baada ya kuachana mwezi mmoja uliopita kufuatiwa na usaliti uliokuwa ukiendelea katika ndoa yao.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags