Candace: Diddy hayupo jela kwa sababu ni FBI

Candace: Diddy hayupo jela kwa sababu ni FBI

Mtangazaji na mwanaharakati kutoka nchini Marekani Candace Owens amedai kuwa mkali wa Hip-hop nchini humo Diddy hayupo jela mpaka sasa kwa sababu ni FBI/CIA.

Kupitia ukurasa wake wa X (zamani twitter) mwanadada huyo ameshare video ya Diddy akimpiga Cassie iliyoonesha kwa mara ya kwanza kwenye runinga ya Cnn ikiambatana na ujumbe usemao “He’s not in jail because he’s a FBI/CIA asset”

Akiwa na maana kuwa ‘rapa’ Diddy hayupo jela kwa sababu yeye ni mali ya FBI/CIA.

Yapi maoni yako kwenye hili?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags