Busu lamponza mwanamke nchini Sudan

Busu lamponza mwanamke nchini Sudan


Mwanamke mwenye umri wa miaka (20) amehukumiwa kifungo cha Miezi 6 baada ya kukubali kosa. Awali alihukumiwa Kifo kwa kupigwa Mawe lakini baada ya Malalamiko ya Wanaharakati, Mahakama imeamua kubadilisha hukumu

Adhabu ya awali iliyotolewa katika Mji wa Kosti, Jimbo la White Nile kesi ikiwa ni ‘Uzinzi’, ilitajwa kuwa ni ukiukwaji mkubwa wa Sheria za Kimataifa, ikabadilishwa na kuwa kesi ya ‘Tendo Chafu’

Aloooooh hii imekaaje mdau fikiria adhabu hii ikaja nchini kwako itakuaje? Dondosha comment yako hapo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags