BUSTANI YA MUNGU – KITULO NATIONAL PARK

BUSTANI YA MUNGU – KITULO NATIONAL PARK

Hifadhi ya Taifa Kitulo inapatikana Nyanda za juu Kusini mwa Tanzania katika mikoa ya Mbeya na Njombe. Hifadhi hii ipo kati ya kilele cha Milima ya Kipengere, Poroto na Safu za Milima ya Livingstone. Hifadhi ya Taifa ya Kitulo ina ukubwa wa kilomita za mraba 412.9. Hii ni hifadhi ya kwanza kabisa barani Africa kuanzisha kwa lengo la kutunza mimea yake hususani jamii ya maua.

 

Watu wengi hupendelea kuiita hifadhi hii “Bustani ya Mungu”. Hii ni kutokana na uzuri wa hifadhi hii uliopambwa na aina mbalimbali za maua mazuri yakuvutia yenye rangi nzuri na harufu za kipekee ambayo hupatikana eneo hili tu  duniani kote. Wengine wameenda mbali zaidi kwa kifananisha hifadhi ya Kitulo na ile ya Serengeti. Kutokana na hilo wataalamu wa mimea wakaamua kuiita “Serengeti ya Maua” kutokana na utajiri wa aina nyingi za maua yanayopatikana hifadhini na kuifanya moja ya sehemu ya maonesho ya maua mazuri Duniani.

 

Things to do in Kitulo national park 

Bird watching, Kitulo national park is one of the ideal birding destinations in Tanzania with different mountain bird species, endemic species and migratory species.

Mountain climbing, this is an adventurous activity in the park where you will climb mount Rungwe and have spectacular views of animals like reedbucks, elands, primates like vervet monkeys, kipunji monkeys, different bird species, plants among others during hiking and once you reach the summit you will have incredible views of the park.

Guided nature walks, Kitulo park offers fascinating nature walks where visitors are allowed to explore the park on foot with the company of an armed park ranger. Nature walks are best done in the morning or late in the evening following different walking trails such as walks across the grasslands, Livingstone Mountains which lead you to Matema beach on Lake Nyasa.

Swimming, Kitulo National Park also offers swimming activity which is carried out in Ruaha River which gives visitors an opportunity to get refreshed.

 

 

Best of luck in exploring this place!






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags