Baada ya dada wa mwanamuziki maarufu kutoka nchini Marekani Celine Dion, Claudette Dion kutoa taarifa mpya kuhusiana maendeleo ya mwanamuziki huyo Desemba mwaka jana, kwa kuwe...
Mkali wa hip-hop kutoka nchini Marekani Rick Ross ameendela kufanya 'tizi' kwa ajili ya kupanda mlima Kilimanjaro mwaka 2024.
Rick amekuwa akifanya mazoezi ya kupungua mwili n...
Bondia maarufu nchini Hassani Mwakinyo amefungiwa kupanda ulingoni kwa muda wa mwaka mmoja na faini ya tsh 1 milioni kufuatia utovu wa nidhamu wa kugomea kupanda ulingoni.
Mwa...
Bondia maarufu nchini Hassan Mwakinyo ameendelea na msimamo wake wa kutopanda ulingoni kutokana na sakata lake la kutofautiana katika makubaliano na ma-promota.Kupitia ukurasa...
Kutokana na ubunifu wa mwanamuziki DiamondPlatnumz kupanda jukwaani na majeneza, kumezuka ubishani kwa wadau wa muziki huku wengine wakidai si sawa na wengine wakisifia ubunif...
Katika taarifa yake jana Jumapili, Mkurugenzi Mkuu wa EPRA Daniel Bargoria alisema kuwa ongezeko hilo limechangiwa na wastani wa gharama ya bidhaa za petroli iliyosafishwa kut...
Taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB), Salum Awadh, amesema kupanda kwa chakula kunatokana na changamoto mbalimbali ikiwemo upatikanaji h...
Mambo vipi kijana mwenzangu. Karibu kwenye makala ya kazi, ujuzi na maarifa na wiki hii tutafahamishana jinsi ya kupanda juu mahala pa kazi.
Je unapaswa ufuate mambo gani ili ...
Najua watu wengi mmeiweka hii katika bucketlist yenu. Ingawa kupanda milima sio kazi rahisi, huu mlima uliopo hapoahapa nchini kwetu ni mlima wa pili kwa urefu duniani.
Mt. Ki...
Tukiwa tunaangazia watu ambao wamevunja rekodi mbalimbali barani Afrika, LISTI inaletea wakali wa kwanza kabisa kuwahi kuvunja rekodi ya kupanda mlimi mrefu zaidi duniani, MLI...