Niajeeee!!! Mwanangu mwenyewe je unajua siri za kufanya biashara yako ya nguo ifanikiwe mtandaoni? Mambo yasiwe mengi bhana ni vitu vidogo sana leo kwenye Nipe Dili nakukunjul...
Ukisia nimepata mchongo ndo huu wa Msanii Drake ambaye amesaini dili na Universal Music Group (UMG) ambalo linaripotiwa kuwa na thamani ya Sh. Bilioni 928.
Hata hivyo inakumbu...
Mambo vipi? mfuatiliaji wa Mwananchi scoop, karibu kwenye ukurasa wa nipe dili na leo tutakwenda kuelekezana jinsi ya kuandaa bagia za kunde je umeshawahi kujaribu kutengeneza...
Mambo vipi mdau karibu kwenye ukurasa wa nipe dili na leo moja kwa moja tutaelekezana jinsi ya kupika tambi za nazi.
Kama unavyofahamu tupo ndani ya mfungo wa mwezi wa Ramadha...
Naam! Uko pouwa mdau wangu? hivi unafahamu namna ya kupika cookies? Au ndo unasikia sikia tu halafu helewi mambo, usijali hili suala niachie mimi.
Leo kwenye nipe dili nitakuj...
Kampuni ya Kielektroniki ya Samsung Afrika Mashariki imekutana na wadau wake wa kibiashara Jijini Dar es Salaam wakiwemo wafanyabiashara na wasambazaji wa bidhaa zake zote kut...
Mambo vipi mdau karibu kwenye ukurasa wa Nipe dili bwana kama kawaida hua hatuachi kitu kabisa hapa ni kufundisha na kuelekezana jinsi ya kupika vyakula mbalimbali.
Leo kwenye...
Yees!! Mambo vipi mtu wangu karibu kwenye ukurasa wa nipe dili kama kawaida hua tunapeana madini mbalimbali kuhakiksha mambo yanakwenda sawa bin sawia.
Leo kwenye nipe dili na...
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) wameaswa kuendelea kufanya kazi kwa juhudi na uadilifu ili kuiletea tija sekta ndogo ya mafuta na gesi asili...
Weuwee! Salamu hizi unazipata kwenye magazine ya Mwanchi Scoop pekeee au sio say aye yeee kama kawaida tuko kimadili zaidi kuliko mengine mwanangu mwenyewe.
Na leo bwana tutae...
Eenheee, niaje!! Mpambanaji na mtafutaji mwenzangu! Bila shaka huu ni wakati wakuifukuzia shilingi popote pale ilipo, usichoke endelea kupigania mkate wako wa kila siku.
Wiki ...
Hali yako mdau wa Nipe Dili kila jumanne leo kwa furaha na shangwe zote nataka kukufundisha kitu adimu kabisa na sio wote wanaotambua ufundi huu nakuletea mezani sasa.
Enhee h...
Kumekucha tenaaa!! Mambo vipi mtu wangu kama kawaida kwenye ukurasa wa Nipe Dili bhana mimi naendeleza mautundu yangu ya kukupa kile unachostahili.
Ikiwa tuko mbioni kuukamili...