Billnass: Ukipenda unaweza kufanya vitu ambavyo huvipendi

Billnass: Ukipenda unaweza kufanya vitu ambavyo huvipendi

Mwanamuziki #Billnass amewajibu wanaomsema vibaya kutokana na clip inayosambaa mtandaoni akicheza ‘Flow’ ambao ni wimbo wa mkewe #Nandy.

Wakati akifanya mahojiano na vyombo vya habari nchini @billnass amesema kuwa aliyatarajia hayo baada ya kufanya clip hiyo ambayo iliifanya kwa lengo la ‘kumsapoti’ mke wake.

Billnass amesema kuwa kufanya clip hiyo ilikuwa ni nguvu ya upendo, kwani ukipenda unaweza kujikuta unafanya vitu ambavyo huvipendi.

Hata hivyo hakuacha kummwagia sifa mke wake akidai anampenda sana, amemzalia mtoto na amemuheshimisha.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags