Billnass adai mkufu wake unathamani ya coaster tatu

Billnass adai mkufu wake unathamani ya coaster tatu

Katika harakati za kutambiana mikufu yenye thamani katika festival iliyofanyika siku ya Ijumaa mkoani Songea, msanii Billnass naye hakukaa kinyonge huku akidai kuwa mkufu wake ambao ameununua hivi karibuni una thamani ya magari matatu aina ya coaster.

Kupitia tambo hizo kuhusiana na mikufu yenye thamani zaidi Nenga amesema, “sasa ukija hapa kwangu coaster tatu zimelala” akimaanisha kuwa thamani ya mkufu wake huo unaweza kununua coaster tatu.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post