Billnas asemekana kupata mtoto

Billnas asemekana kupata mtoto

Msanii Billnass amepata mtoto? Hilo ni swali ambalo watu wengi wanajiuliza huko mitandaoni baada ya msanii huyo kuposti picha akiwa na mtoto mchanga.

Unaambiwa pcha hiyo imezua gumzo huko mtandaoni huku watu wakijiuliza maswali mengi na baadhi yao wakihisi kuwa huwenda mtoto huyo akawa ni wa kwake.

Nenga ameposti picha hiyo katika ukurasa wake wa Instagram huku akisindikiza na caption yenye emoji ya amina ambayo wengi hutafsiri kama neno asante na hiyo kufanya baadhi wa watu kuamini huwenda Billnass ni new dad in town.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags