Beyonce avunja rekodi tuzo za Grammy

Beyonce avunja rekodi tuzo za Grammy

Mwanamuziki nchini Marekani, Beyonce ameandika rekodi nyingine tena ya kushinda tuzo ya Grammy ambapo anakuwa msanii anayeshikilia rekodi hiyo duniani kwa muda mrefu baada ya kumshusha Sir George Solti, kutokana na rekodi yake kuu ya 2022, Renaissance.

Beyonce kwa sasa amefikisha idadi ya tuzo za Grammy 32 katika kabati lake la kuhifadhia tuzo ambapo anakuwa msanii anayeongoza kwa tuzo nyingi zaidi duniani.

Wasanii wengine ambao walikuwa na usiku mzuri ni pamoja na Harry Styles akishinda albamu bora ya pop ya Harry's House na Sam Smith akipokea onyesho bora zaidi la duo/kundi la Unholy.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags