Bernard Morrison: Nilijua tuu Feisal atatuokoa

Bernard Morrison: Nilijua tuu Feisal atatuokoa

Alooooooooh! Kumbe jana wananchi walikuwa katika hali mbaya hivyo na hamkusema watu niwasiri sana, basi bwana yule mzee wa kuwakera Bernard Morrison(BM 3) ameeleza kuwa alijua tuu toto ya Zenji Fei toto atawaokoa kwenye mchezo wa jana.

Kutoka kwenye ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa “Knowing very well that feisal Salum will rescue us from PRISON YARD. Akiwa na maana kuwa alijua fika kuwa Fei toto atawaokoa dhidi ya Tanzania Prison” ameandika Morrison


Hii imekuja baada ya Feitoto kuipatia timu yake ushindi baada ya kulitafuta gori kwa muda mrefu mpaka Dakika ya 89 alipotingisha nyavu za wajela jela Tanzania Prison.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags