Barbara sasa ni mama J

Barbara sasa ni mama J

Mfanyabiashara na aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa ‘klabu’ Simba SC Barbara Gonzalez kupitia ukurasa wake wa Instagram ameonesha picha akiwa na mtoto huku akindika,  "Mama J Alhamdullilah for Everything".

Kupitia post yake hiyo watu maarufu wamejitokeza na kumpongeza kwa hatua hiyo huku mashabiki nao wakiwa hawajakaa mbali kutoa pongezi zao






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags