Bajeti Kuu 2022/2023

Bajeti Kuu 2022/2023

Hellow! Bwana bwana waswahili wanasema usiku wa deni haukawii kukucha leo tutakudondoshea taarifa mbalimbali kuhusu bajeti kuu, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba leo anawasilisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023.
Katika mwaka wa fedha wa 2022/2023, serikali inatarajia kutumia Tsh trilioni 41 sawa na ongezeko la 8.1% ya bajeti inayomalizika ya mwaka wa fedha wa 2021/2022 ambayo ilikuwa Tsh trilioni 37.9

Katika bajeti ya mwaka ujao wa fedha baadhi ya mambo yaliyozingatiwa ni ongezeko la mishahara, ajira mpya, upandishaji wa madaraja kwa watumishi wa umma na sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika mwezi Agosti 23 mwaka huu.

Haya sasa ndiyo kwanza kumekucha wadau wa Mwananchiscoop usisahau kulike na kudondosha koment yako hapo chini kuhusiana na swala zima la bajeti kuu inayotarajiwa kutangazwa Bungeni jijini Dodoma.

 


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post