Babu Tale: WCB tunasaini wasanii wawili hivi karibuni

Babu Tale: WCB tunasaini wasanii wawili hivi karibuni

Oooohooooo! Bwana chibude anawaambia mkae mkao wa kula mana anaingiza kontena jipya hivi karibuni  sasa hilo kontena jipya litakuwa na ushahidi ili kuepuka maneno ya kusema kuwa anawanyonya wasanii wenzake, maneno hayo yamesemwa na meneja wa msanii huyo amabae ni Mbunge wa Morogoro MH. Hamis Taletale maarufu kama babu Tale.

Babu tale ameweka wazi kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagrm na kusema kuwa “Hivi karibuni tutasain wasanii wawili kujiunga lebo ya Wasafi ila safari hii tumeamua msanii atakua na mashaidi wawili kutoka COSOTA na BASATA. Music ni biashara yetu na nijukumuletu kukuza na kusimamia hii kazi atuwezi kuacha hata iwe vipi”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags