Babalevo, Shilole hali si shwari

Babalevo, Shilole hali si shwari

Huenda hali si shwari kwa urafiki wa wasanii wawili kati ya Babalevo na Shilole baada ya Babalevo kumuonya Shilole akae mbali na maisha yake asimfanye akaanza kuongea mambo yake.

Babalevo ameshea picha ya Shilole kwenye Insta Story yake kwa kuandika kwamba "Kuanzia leo kaa mbali na maisha yangu mi sio hao mb** wako unaowafuga nakujua vyema usitake niongee tafadhali" ameandika Babalevo

Eee bwana unaambiwa baada ya kauli hiyo ya Babalevo mashabiki waliibuka na kumsihi aache kitu anachotaka kufanywa kwa Shilole kwakuwa wamekuwa marafiki wa muda mrefu.

Mbali ya Babalevo kumuonya Shilole, pia amemuomba msamaha aliyekuwa mume wake Ushebe kwamba alimkosea hivyo anaomba amsamehe, jambo ambalo Uchebe amerdhia kumsamehe.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags