Baba Levo: Wadada wazuri mnatumia simu za hovyo, zimeoza

Baba Levo: Wadada wazuri mnatumia simu za hovyo, zimeoza

Mwanamuziki Baba Levo , azungumzia suala la baadhi ya simu kulipuka ikiwa zimepita siku chache tangu matukio ya namna hiyo kutokea huku akiwatolea mifano watu maarufu kama Nai na Tessy.

Baba Levo amedai kuwa simu zilizolipuka ni za hovyo zilizopitwa na wakati siyo mpya bali zimetumika zikabadilishwa baadhi ya vitu na kisha kurudishwa dukani ndiyo maana zinaleta shida.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post