Baba Levo awashukuru mashabiki zake

Baba Levo awashukuru mashabiki zake

Msanii  Baba levo bwana amewashukuru mashabiki wa Muziki wake mara baada ya kupokea Tuzo maalum ya kufikisha wafuasi (Subscribers) laki moja katika mtandao wa Youtube.

Sasa bwana Baba levo ameshare taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika  hivi ''THANKS youtube I GOT IT...! Youtube thanks mashabiki wangu kwa ku subscribe kwenye youtube chanel yangu ...!!!
soon naachia video mpyaa  Hellow''.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags