Baada ya miaka miwili mke wa Momoa adai talaka

Baada ya miaka miwili mke wa Momoa adai talaka

Mke wa muigizaji kutoka nchini Marekani #JasonMomoa, #LisaBonet ameomba talaka baada ya miaka miwili ya kutangaza kuachana.

 Katika miaka miwili hiyo tangu watengane bila ya kupeana talaka walidai kuwa walichoka kuishi pamoja na kila mtu alitaka uhuru wake mwenyewe kutokana na ugomvi wa mara kwa mara katika familia yao.

Momoa na Bonet walifunga ndoa Oktoba 7,2017 na wamefanikiwa kupata watoto wawili Lola na Nakoa-Wolf ambao walipishana miaka miwili kuzaliwa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags