Baada ya kupata mtoto wa pili Rihanna atoa sadaka

Baada ya kupata mtoto wa pili Rihanna atoa sadaka

Zikiwa zimepita siku chache tangu nyota wa muziki kutoka Marekani Rihanna na mpenzi wake A$AP Rocky kupata mtoto wa pili, Rihanna hajataka kupoteza muda na kuamua kutoa sadaka ya shukurani.

 

Rihanna amejitolea kusaidia watu wenye uhitaji kwa kutoa msaada kwa walemavu, na watu wasio na makazi Los Angeles, alifanikiwa kutoa sadaka hiyo baada ya kuwasiliana na Sennett Devermont, ambaye ni mwanzilishi wa shirika la Always For The People Foundation.

 

Nyota huyo ametoa msaada wa baadhi ya vitu kama vile vifaa vya usafi, soksi, nguo, mifuko ya kulalia, chakula, jozi zaidi ya 50 za viatu, toilet paper, na chakula cha mbwa.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags