AY : Atoa ujumbe kuhusu  muziki wa  Amapiano

AY : Atoa ujumbe kuhusu muziki wa Amapiano

Ebwana eeh! Msanii  AY Tanzania 'Mzee wa Commercial' ameuliza kuhusu biashara ya muziki wa Amapiano kwa wasanii wa Tanzania nchini South Africa kama wao wanavyokuja kwa wingi kupiga pesa Tanzania.

Hiyo bwana amezungumza kupitia page yake ya Twitter AY ameandika  ujumbe huu hapa.

 "Wakuu, wasanii na Ma Dj's waliokuwa busy na kufanya Amapiano hapa Tanzania, mpaka leo nani kashaenda South Africa kuokota hela zao tujifunze biashara"

"Maana naona wasanii na dj's wa South Africa wanavyokuja kuokota hela Bongo,nini shida".

Aisee hayo ndiyo aliyoandika AY nawe unaweza kuchangia chochote kupitia website www.mwananchi scoop.co.tz.

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags