Awamu hii Diamond awa mfungwa Songea

Awamu hii Diamond awa mfungwa Songea


Nyota wa muziki nchini #DiamondPlatnumz aendelea kuonyesha ubunifu akiwa anapanda jukwaani, ili kuteka hisia za mashabiki siku ya jana awashangaza mashabiki wa Songea alipoingia jukwaani kama mfungwa.

Ikumbukwe week iliyopita aliwashangaza mashabiki wa Ruangwa alipoingia jukwaani akiwa ndani ya Jeneza.

Je unafikiri show inayofuata atakuja na ubunifu gani?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags