Ange ‘kocha’ bora wa mwezi

Ange ‘kocha’ bora wa mwezi

‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya Tottenham, Ange Postecoglou ameibuka tena kidedea baada ya kuchaguliwa kuwa ‘kocha’ bora wa mwezi Septemba ‘Ligi’ kuu England mfululizo baada ya kutwaa tuzo ya mwezi Agosti.

Postecoglou anakuwa ‘kocha’ wa kwanza kushinda tuzo ya ‘kocha’ bora wa mwezi kwenye miezi yake miwili ya kwanza kwenye historia ya ‘Ligi’ kuu England ambapo mpaka sasa ameshinda ‘mechi’ 8 bila ya kupoteza.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags