Aliyeua mwanafunzi ahukumiwa baada ya kukiri kosa

Aliyeua mwanafunzi ahukumiwa baada ya kukiri kosa

Ikiwa imepita miaka 18 tangu kifo cha mwanafunzi Natalee Ann Holloway kutokea, hatimaye Joran van der Sloot amekiri kuhusika na mauaji hayo mbele ya mahakama nchini Marekani.

Joran amekiri na kusema kuwa alitekeleza mauaji hayo kwenye fukwe kwa kumpiga Natalee na tofali usoni, wakati wakigombana baada ya mwanadada huyo kumkataa kingono.

Katika kukiri hayo Van alisema kuwa aliamua kuusukuma mwili wa Natalee baharini ili usiweze kupatikana, kutokana na kukiri hayo hakimu Anna Manasco alimuhukumu Natalee kifungo cha miaka 20 gerezani.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags