Alikiba amjibu Maua Sama

Alikiba amjibu Maua Sama

Moja ya story inayobamba katika mitandao ya kijamii ni ya Staa wa muziki Bongo Alikiba ambaye amemjibu Maua Sama.

Alikiba alifunguka na kusema kuwa hakuna mtu wa kumpiga akirudia kusikiliza wimbo wake wa Zai, Utu ya Alikiba na I wish ya Kusah.

Kupitia ukarasa wa Twitter Maua Sama ameandika kwamba "Kwani ikitokea hujaimba Amapiano unaweza kufutiwa cheti cha usajili BASATA au utapokonywa NIDA & Passport?"

 "Nipo zangu sehemu hapa nakunywa soda nasikiliza Zai, Utu & I wish (On Repeat) nipo Airport njooni mnipige"

Alikiba akacomment kwenye tweet hiyo kwa kuandika "Hakuna wa kukupiga Zai wangu".

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags