Aishi na Sindano na uzi mwilini kwa miaka 11

Aishi na Sindano na uzi mwilini kwa miaka 11

Mwanamke mmoja kutoka nchini Colombia aliefahamika kwa jina la Maria Aderlina Forero aligundua kuwa ndani ya mwili wake kulikuwa na sindano na uzi vilivyosahaulika na madaktari wakati akifungwa mirija ya uzazi baada ya kujifungua mtoto wake wa nne mwaka wa 2012.

Tukio hilo lililotokea akiwa  anafungwa mirija ya uzazi lakini hakutambua kwamba madaktari walikuwa wameacha baadhi ya vifaa vya upasuaji ndani yake.

Kulfuatia New York Post Maria alidhani kwamba alikuwa akikabiliana na mfadhaiko wa baada ya kuzaa baada ya kupata maumivu katika eneo lake la ndani na maumivu hayo yaliendelea mpaka kupelekea kurudi Hospital.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags