Ahmed Ally:Tunapitia maumivu makali

Ahmed Ally:Tunapitia maumivu makali

Ebwana baada kupita mchezo wa ngao ya jamii kati Simba Sc dhidi ya Yanga Sc ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 Msemaji wa klabu ya Simba ameamua kuvunja ukimya.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Msemaji wa Klabu ya Simba Ahmed Ally ameandika ujumbe huu hapa mzito.

''Maumivu ni makali sanaa hakuna anaeweza kujificha kwa kusema ni kawaida ya mpira, mateso hayapaswi kuwa kawaida
ukweli ni kwamba tunapitia maumivu makali mnoo, kila mwana simba leo anaugua kivyake”

“ Ndugu zangu hakuna neno la kufuta machungu yenu
mlichokitegemea sicho mlichopata inaumiza sana, kila nikitazama macho ya wana simba naona uchungu na maumivu yaliyopitiliza, kiukweli mnateseka ndugu zangu “






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags