Ahmed Ally: Tumeamua kuruka kivyetu

Ahmed Ally: Tumeamua Kuruka Kivyetu

Semaji kama semaji bwana baaada ya kukabidhiwa mkataba mnono wa billion 26 na chench zake, hakutaka siku iishe hivi hivi bila ya kusema chochote akaamua kufunguka  na kusema kuwa

“Simba hatuna tunayefanana naye ndiyo maana tumeamua kuruka peke yetu, miaka mingi huko nyuma tulikuwa tunafanana kila kitu na wenzetu, Jezi zikitoka zinafafa kila kitu kasoro rangi, mdhamini ni huyo huyo anawapa kila kitu, mambo ya kuruka pamoja tumeyaacha sababu hakuna tunayefanana naye tuko peke yetu ndiyo maana tuna mdhamini wetu kivyetu vyetu” amesema Ahmed Ally

Mmmmmmmmh! Ama kweli hawa watu wameamua, hivi majirani wameamka au bado wamelala, watoto wa msimbazi wanakwambia “Hatushikiki Hatuzuiliki” alooooh!

 


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post