Ahmed Ally: Tukutane robo fainali

Ahmed Ally: Tukutane robo fainali

Baada ya kusubiriwa kwa muda kuhusiana na ‘timu’ gani itapangwa na nani katika mashinando ya CAF hatimaye, yameshapangwa na kila ‘klabu’ ya ‘soka’ nchini imejua inaenda kukipiga na mpinzani gani.

Afisa habari Simba baada ya kuona mambo safi kwa upande wao ametamba na kueleza kuwa anauhakika wa kutoboa kuingia robo ‘fainali’ kwa kuandika

“Tumeliona kundi letu tukutane Robo Fainali”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags