Ahmed Ally afunguka mazito  baada ya Simba day

Ahmed Ally afunguka mazito baada ya Simba day

Ebwana baada ya maneno kua mengi kwenye mitandao ya kijamii bwana hatimaye Msemaji wa Klabu ya Simba Ahmedally ameachia ujumbe huu hapa kupitia mtandao wake wa Instagram.

Ahmedally ameandika hivi ''Mimiiiii kufanya Simba Day moja tuu umeumia namna hiyoooWivu na choyo ni kitu kibaya sanaaa unaungua peke yako moyoniiii, tangu asubuhi unatatarikaaa, unahangaikaaa nakuchoraa tuu”


“Enhee Ulitakaje sasa tukukodiii uje uwe MC na kwetu kwani hujaridhika ulivyokua Mc kwenye kitchen party yenu
Ah kwanza nimekumbuka wewe hurusiwi kunizungumzia mimi, mimi ni Football tafuta size yako ucheze nao

Jiandae kuamka asubuhi kumuandalia Boss Chai, unyooshe kanzu yake ndo ulichobakiza!!
Sasa hivi unadandia kila mtu ili tukuone bado upoooo''hatujamalizaaaa

Aiseee kupitia ujumbe huo unamaoni gani mdau wa Mwananchi scoop funguka hapo.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags