Afisa mtendaji ahukumiwa jela miaka 2 kwa ubadhirifu

Afisa mtendaji ahukumiwa jela miaka 2 kwa ubadhirifu

Kutoka Songwe Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Momba, imetoa adhabu kwa Lukas Alcado Chole na kumtaka kurejesha Tsh. Milioni 35.7 akimaliza kifungo.

Amekutwa na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka na Ubadhirifu, makosa ambayo ni kinyume na kifungu cha 31 na 28(1) vya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa 2019.

 







Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags