Abigail Chams afichua kitu anachoogapa kwenye maisha yake

Abigail Chams afichua kitu anachoogapa kwenye maisha yake

Mwanamuziki wa Bongo Fleva Abigail Chams, wakati akizungumza na Mwananchi Scoop kwa njia ya simu ameeleza kuwa katika viti anavyo viogopa kwenye maisha yake na hawezi kuvifanya ni kuacha kusali, kwani Mungu ndiye sababu ya yeye kuwepo.

Hata hivyo amewataka watu kutumia vizuri mitandao ya kijamii kwa ajili ya kujipatia manufaa na siyo kutumia kwa kucheza tu, huku akitolea mfano kuwa kuna baadhi ya watu hawafahamiki lakini nyimbo zao zimekuwa zikifanya vizuri kwenye mtandao wa TikTok.

Abigail kwa sasa anatamba na EP yake mpya iitwayo 5 yenye nyimbo sita, huku kwenye baadhi ya nyimbo akiwa amewashirikisha wasanii kama vile Whozu, Marioo na Chino Kid






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags