6ix9ine atua  Uganda kwaajili ya kushoot video yake

6ix9ine atua Uganda kwaajili ya kushoot video yake

Rapa kutoka nchini Mexico Daniel Hernandez maarufu kama 6ix9ine siku za hivi za karibuni alitangaza kuwa anatarajia kuja Afrika ku-shoot video ya ngoma yake ya wapae.

Watu walihesabu siku, saa na dakika hatimae mwamba huyo tayari ameshatua Afrika na yupo nchini Uganda na tayari kashakutana na baadhi ya madensa na kumwaga madola kama yote.

Kupitia ukurasa wa instagam wa mwanamuziki huyo ameposti video ilioambatana na ujumbe ukisema kuwa “Uganda, Africa i love you all siwezi kusubiri kuedit video hii im so happy”alisema 6ix9ine

Ooooooh! Unaambiwa mtoto hatumwi dukani, mpaka sasa mwamba huyo haijajulikana yupo Afrika kwa muda gani na atazunguka nchi ngapi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags