50 Cent kutua Africa

50 Cent kutua Africa

Ikiwa ni muendelezo wa ziara ya ‘rapa’ kutoka nchini Marekani 50 Cent, ya ‘Final Lap Tour’ sasa anafikiria kutua Africa muda wowote kwa ajili ya show.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Cent amewauliza swali mashabiki wake kuwa ni sehemu gani aanze nazo katika ziara yake inayofuata ambapo alitaja Africa, Jamaica, Tokyo na Japani huku akieleza kuwa ni lazima atamatishe ziara hiyo katika maeneo hayo aliyotaja.

Ikumbukwe kuwa weekend iliyopita Cent alikuwa na show nchini India katika Uwanja wa DY Patil uliopo mjini Mumbai ikiwa ni muendelezo wa zaira yake hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags