50 Cent awatolea povu wanaodai amekonda

50 Cent awatolea povu wanaodai amekonda

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani 50 Cent amewatolea povu mashabiki ambapo wamekuwa wakimnanga kwenye baadhi ya picha anazo-post kufuatiwa na kupungua kwake uzito kwa siku za hivi karibuni.

Cent amewajibu mashabiki hao kupitia video aliyo-post akieleza kuwa amepungua uzito kutokana na kufanya mazoezi mara kwa mara lakini pia jambo lingine ni kufanya ziara mfululizo bila kupumzika tangu 2023.

Show ya kwanza ya ‘rapa’ huyo kwa mwaka 2023 itakuwa Machi 1, katika uwanja wa ‘NRG’ ulioko Texas nchini Marekani.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags