Zuchu: Muheshimiwa anaimba ‘Honey’, Acheni kuwa serious na maisha

Zuchu: Muheshimiwa anaimba ‘Honey’, Acheni kuwa serious na maisha

Mwanamuziki #Zuchu amewataka watu waache kuwa serious sana na maisha badala yake waburudike na wimbo wake wa #Honey unaozidi kufanya vizuri tangu ulipoachiwa.

Zuchu ametuma ujumbe huo ikiwa ni baada ya Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo, kuonekana kwenye video akiimba #Honey.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags