Zaidi ya Trilioni 4 kulipwa Drake, Travis

Zaidi ya Trilioni 4 kulipwa Drake, Travis

Ohooo!! Nikwambie tu  wakili anayewawakilisha zaidi ya Watu 200 wanaodaiwa kuwa ni Waathirika wa Tamasha Astroworld amefungua Kesa ya Madai ya Dola za Kimarekani Bilioni mbili  sawa na Takribani Trilioni 4.6 za Kitanzania Dhidi y Travisscott na Drake, a  Live Nation Pamoja na Nrg Park.

Hata hivyo Ikumbukwe kuwa Kesi hii inamkabili Rapper huyo baada ya siku za hivi karibuni kufanya Tamasha ambalo lilisababisha Msongamano mkubwa na kupelekea watu 10 kufariki na Zaidi ya 100 Kujeruhiwa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags