Yao Kouassi hatihati kuikosa Mamelodi

Yao Kouassi hatihati kuikosa Mamelodi

Afisa Habari na Mawasiliano #Yanga, #AllyKamwe amezungumzia hali ya majeruhi waliopo katika ‘klabu’ hiyo kuelekea mchezo wa robo fainali ‘Ligi’ ya Mabingwa Afrika dhidi ya #Mamelodi utakaochezwa Machi 30, 2024.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamwe amesema ‘beki’ Yao Kouassi yupo hatarini kuukosa mchezo huo kutokana na kuchanika nyama za paja.

“Kibwana Shomari anaendelea vizuri na ataanza mazoezi hivi karibuni.”
“Khalid Aucho yeye anaendelea na sehemu ya pili ya matibabu.”

Ameongeza kuwa, #PacomeZouzoua anaendelea na matibabu akiwa kwenye timu ya Taifa ya Ivory Coast iliyoko kambini nchini #Ufaransa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags