Yanga kutoa zawadi ya mchezaji bora kila mwezi

Yanga kutoa zawadi ya mchezaji bora kila mwezi

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari, Rais wa ‘klabu’ ya #YangaSC, Eng Hersi Said ameshukuru shirika la #NIC kwa kuamini na kuchagua kufanya kazi na ‘klabu’ hiyo, pia amesema hivi karibuni utatolewa utaratubu wa wazi na bora ambao utatumika kupiga kura kumchagua mchezaji bora wa mwezi ndani ya kikosi hicho.

Aidha ‘klabu’ hiyo imeingia mkataba na shirika hilo ambapo  mkataba huo wa miaka mitatu wenye thamani ya tsh 900 milioni lakini pia ukiwa na kipengele cha  kutoa zawadi kwa mchezaji bora wa mwezi ndani ya ‘timu’ hiyo.

Hiyo ikiwa ni moja ya kuwapa molari na hamasa kwa wachezaji wazidi kujituma katika ‘klabu’ hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags