Yanga kurudi na kicheko nyumbani

Yanga kurudi na kicheko nyumbani

‘Klabu’ ya Yanga yaibuka kidede baada ya kuichapa Al Merrikh ya Sudan mabao 2-0 katika Uwanja wa Pele katika mchezo wa makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Huku mabao hayo yakiwa yamefungwa na wachezaji tofauti akiwemo Kenedy Musonda aliyefunga dakika ya 60 na Clement mzize alifunga dakika ya 80.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post