Yanga kufungua tawi Marekani

Yanga kufungua tawi Marekani

Aliyekuwa msemaji ya Yanga Haji Manara amefunguka na kudai  kuwa ‘klabu’ hiyo inatarajia kufungua tawi la lake katika jiji la Durham, North Carolina nchini Marekani.

Kupitia ukurasa wake wa istagram ameandika kuwa

“Champions ndani ya USA, Tunatarajia kufungua tawi la @yangasc hapa Jijini Durham, North Carolina na jana nimemkabidhi kadi ya Uanachama Ndugu yetu @djlukejoe ambae ndio kiongozi wa Yanga hapa.

Pamoja na hayo nimemkabidhi Jezi mpya za msimu huu wa 2023/24, tukitarajia kuendeleza mahusiano makubwa zaidi baina ya Club hiyo kubwa Afrika Mashariki na Watanzania na Waafrika wanaoishi hapa USA. Hii ndio Yanga sasa!”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags