Xpend mbioni kuzindua gari inayopaa

Xpend mbioni kuzindua gari inayopaa

Kampuni ya Xpend kutoka nchini China inatarajia kuzindua gari aina ya ‘AEROHT eVTOL’ ambayo inauwezo wa kupaa kama ‘Drone’, gari hiyo itakuwa na uwezo wa kutembea barabarani kama kawaida na kupaa kama ndege.

Xpend walitoa mfano wa gari hiyo ya umeme ambayo tayari imefanyiwa majaribio na inawezekana kuzinduliwa mwaka huu 2024, huku bei yake ikiwa ni dola 150,000 ambayo ni zaidi ya tsh 370 milioni






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags