Wolper: Nimependa alichokifanya mzee wa Buga

Wolper: Nimependa alichokifanya mzee wa Buga

Aloooooooooooh! Mama k nae yuko moto bwana hajamua kukaa kimya kwa hili lililo tokea jana la gumzo la mwanamziki anaetamba na nyimbo yake ya Buga ambayo inafanya vizuri kupitia mitandao ya kijamii, basi bwana mama kija huyo amefurahishwa na kitendo cha yeye kutotokea kwenye show.

Wolper aliandika kupitia instastory yake  huku akiwa ameeka  picha ya mwamba huyo Kizz Daniel na kusema kuwa “Nafurahi ulichofanya jana maana ata ndoa zilitaka kuvunjika watu wamerudi asubuhi  bwana Buga lakini bila kusahau wadada wamekopa na kukopwa kwaajili ya nguo mpya na mawigi  mapya, watu walijipanga kusema ukweli nimepentaa hahahaha nakojoa jamani” ameandika mama kijacho Wolper

Weeeeeeeeeh! Wakati wengine wakilia warudishiwe pesa zao hata nusu huku wengine ndo kwanza wanapenda kilicho tokea hahaha jamani jamani maisha hayawezi kuwa sawa haya dondosha komenti yako hapo chini.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags