Wolper atarajia kupata Mtoto wa pili

Wolper Atarajia Kupata Mtoto Wa Pili

Hii ni habari njema ambapo Mzazi mwenza wa Muigizaji Jacqueline Wolper, Rich Mitindo ameweka wazi kuwa wawili hao wanatarajia kupata mtoto wa pili.
Rich ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika ujumbe huu ulioambatana na picha yao ya pamoja.

"Asante Mungu kwa hii zawadi nyingine. Wakati tumefikiri kwamba tumebarikiwa mtoto wa kwanza ajabu Mungu kaonesha miujiza yake na kutupa furaha nyingine. Nasubiri kwa hamu ujio wako, karibu sana mwanangu mama yako anakupenda sana pia mimi na kaka yako maombi yetu yapo juu yako" Rich Mitindo.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post